Jumamosi 3 Oktoba 2026 - 07:30
Faida za Kuzuia Hasira

Hawza/ Amirul-Muuminina (as) katika riwaya, ameashiria fadhila ya kuizuia hasira na matokeo yake mazuri.

Shirika la Habari la Hawza limechapisha riwaya ifuatayo kutoka katika kitabu Wasā’il al-Shia. Amirul-Muuminina (as) amesema:

«تَجَرَّعِ الغَیظَ؛ فَإنِّی لَم أرَ جُرعَةً أحلی مِنها عاقِبَةً ولا ألَذَّ مَغَبَّةً.»

“Zuia hasira yako; kwani mimi sijawahi kuona funda lenye matokeo mazuri zaidi kuliko hilo, wala lenye mwisho mtamu na wenye kuridhisha zaidi kuliko hilo.”

Wasā’il al-Shia, Juzuu ya 7, Ukurasa wa 388.

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha